Mfalme Dongmyeong wa Goguryeo
Ufalme wa Korea Goguryeo |
---|
|
Mfalme Dongmyeong wa Goguryeo (58 - 19 KK, au 37 – 19 KK), "Dongmyeongseongwang" (
Kwenye tamaduni maarufu
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 2006-2007, mtandao wa televisheni wa Korea Kusini (Munhwa Broadcasting Corporation, kifupi 'MBC) umerusha hewani mfululizo wa kipindi cha maarufu chenye vipengele 81, Jumong.
Kifo na Urithi
[hariri | hariri chanzo]Jumong alikufa mnamo 19 KK akiwa na umri wa miaka 40.[2] Mtoto wa (Yuri) kamzika baba yake ndani ya kaburi la pyramid, na kumpa jina la Chumo-seongwang.
Familia
[hariri | hariri chanzo]- Mke wa 1: Bi. Ye So Ya
- Yuri (Mfalme Yuri),
- Mke wa 2: So Seo-no
- Biryu
- Onjo (Mfalme Onjo)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Digital Korean Studies http://www.koreandb.net/KPeople/KPShow.asp?ID=0003672&Type=L
- ↑
秋 九 月 王 升 遐時 年 四 十 歲 葬 龍山 號 東明 聖王 , 《Samguksagi》 Goguryeo, volume 13.