(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Ksi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ksi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Ksi uc lc.svg
Alfabeti ya Kigiriki
Herufi za kawaida
Αあるふぁ αあるふぁ Alfa 1 Νにゅー νにゅー Ni 50
Βべーた βべーた Beta 2 Ξくしー ξくしー Ksi 60
Γがんま γがんま Gamma 3 Οおみくろん οおみくろん Omikron 70
Δでるた δでるた Delta 4 Πぱい πぱい Pi 80
Εいぷしろん εいぷしろん Epsilon 5 Ρろー ρろー Rho 100
Ζぜーた ζぜーた Dzeta 7 Σしぐま σしぐま ς Sigma 200
Ηいーた ηいーた Eta 8 Τたう τたう Tau 300
Θしーた θしーた Theta 9 Υうぷしろん υうぷしろん Ipsilon 400
Ιいおた ιいおた Iota 10 Φふぁい φふぁい Phi 500
Κかっぱ κかっぱ Kappa 20 Χかい χかい Khi 600
Λらむだλらむだ Lambda 30 Ψぷさい ψぷさい Psi 700
Μみゅー μみゅー Mi 40 Ωおめが ωおめが Omega 800
Herufi za kihistoria1
Digamma 6 San 90
Stigma 6 Sho 90
Heta 8 Koppa 90
Sampi 900
1 Viungo vya Nje:
Alfabeti_ya_Kigiriki#Viungo_vya_Nje

Ksi (Ξくしー ξくしー) ni herufi ya 14 katika Alfabeti ya Kigiriki. Inaandikwa kama ξくしー (alama ya kawaida) au Ξくしー (alama kubwa). Zamani za Kigiriki cha Kale ilikuwa pia tarakimu ikiwa alama ya namba 60.

Asili ya ksi ni herufi ya Kifinisia "samekh" . Herufi zilizotokana nayo katika alfabeti zilizofuata Kigiriki ni X katika alfabeti ya baadhi ya lugha za Kirumi na Ksi (Ѯ, ѯ) katika alfabeti ya Kikirili.

Matamshi yake ilikuwa "ks".

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, ξくしー inatumiwa kama kifupisho kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hisabati na fizikia.