The Wayback Machine - https://web.archive.org/web/20150118225329/http://tanzania.go.tz/home/pages/1408
|
|
|
Mwanzo Wananchi Ujenzi |
|
|
Wizara ya Ujenzi ina wajibu wa kuwa na tasnia ya ujenzi iliyobora, yenye ufanisi na gharama nafuu yenye uwezo wa kutimiza mahitaji mbalimbali kwa ujenzi salama na unaozingatia mazingira, ukarabati na matengenezo ya barabara, majengo pamoja na kazi za umeme na mitambo na kazi nyingine zinazowezesha maendeleo ya uchumi na jamii nchini. Sehemu hii inakupa maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Bodi ya Usajili na Ujenzi (CRB), Bodi ya Usajili wa Wahandisi(ERB), Bodi ya Usajili wa Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi (AQSRB), Bodi ya Ujenzi ya Taifa (NCC), Wakala ya Majengo Tanzania (TBA), Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Wakala ya Ufundi na Umeme (TEMESA). |
|
|
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2013-10-04 12:17:49 |
|
|
|
|
|
|