(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Tovuti Kuu ya Serikali: VIZA
The Wayback Machine - https://web.archive.org/web/20150118223522/http://tanzania.go.tz/home/pages/348

Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeVIZA

Viza ni idhini anayopewa mgeni asiyekuwa mhamiaji aliyepigwa marufuku kuingia na kubaki katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa madhumuni ya kutembea, mapumziko, likizo, biashara, matibabu, masomo au shughuli nyingine yoyote isiyokuwa ya haramu chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Zingatia:

Baada ya kutimiza masharti ya kuingia nchini, mgeni halali atapewa hati za wageni za kupita mara baada ya kuwasili katika kituo chochote cha kuingilia rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi kisichozidi miezi mitatu kwa mara ya kwanza (na si zaidi ya miezi sita kwa raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki) alimradi awe na fedha za kutosha kujikimu wakati anapokuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na tiketi ya kurudi au ya kuendelea na safari ya kwenda kwenye nchi yake aliyotoka, anakoishi au anakomalizia safari.

Aina ya VIZA
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2014-02-14 01:27:58
Kufaa
4.6
5 Jumla
Inafaa Sana 4
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 1
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.2
5 Jumla
Rahisi Sana 4
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 1