(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Gerlako - Wikipedia, kamusi elezo huru

Gerlako (pia: Gerlach, Gerlache, Gerlac, Gerlachus; Houtem, leo nchini Uholanzi, 1100 hivi - Houtem, 1170 hivi) alikuwa mkaapweke karibu na Valkenburg, mkoa wa Limburg, aliyejulikana kwa jinsi alivyohudumia watu fukara[1].

Mt. Gerlako akisali.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Januari[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.