(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Papa Callixtus II - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Papa Callixtus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 00:19, 16 Julai 2008 na TXiKiBoT (majadiliano | michango) (roboti Nyongeza: af:Pous Callixtus II)
Papa Callixtus II

Papa Callixtus II alikuwa papa kuanzia 1 Februari, 1119 hadi kifo chake tarehe 13 Desemba, 1124. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guido wa Vienna. Alimfuata Papa Gelasio II.