(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Papa Callixtus II - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Papa Callixtus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 08:39, 16 Desemba 2008 na Zorrobot (majadiliano | michango) (roboti Badiliko: de:Calixt II.)
Papa Callixtus II

Papa Callixtus II alikuwa papa kuanzia 1 Februari, 1119 hadi kifo chake tarehe 13 Desemba, 1124. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guido wa Vienna. Alimfuata Papa Gelasio II.