12 Juni
Mandhari
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 12 Juni ni siku ya 163 ya mwaka (ya 164 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 202.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 950 - Reizei, mfalme mkuu wa Japani (967-969)
- 1899 - Fritz Lipmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953
- 1910 - Ahmadu Bello, mwanasiasa wa Nigeria
- 1924 - George H. Bush, Rais wa Marekani (1989-1993)
- 1941 - Chick Corea, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1962 - Paul Schulze, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 816 - Mtakatifu Papa Leo III
- 1853 - Mtakatifu Gaspare Bertoni, padri mwanzilishi kutoka Italia
- 1912 - Frederic Passy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1901
- 1982 - Karl von Frisch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Basilide wa Lori, Onufri, Papa Leo III, Odulfi, Eskil wa Tuna, Gaspare Maria Bertoni n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 12 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |