1940
Mandhari
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1910 |
Miaka ya 1920 |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940
| Miaka ya 1950
| Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| ►
◄◄ |
◄ |
1936 |
1937 |
1938 |
1939 |
1940
| 1941
| 1942
| 1943
| 1944
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1940 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]Kalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 |
- 4 Januari - Gao Xingjian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2000
- 4 Januari - Brian Josephson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1973
- 9 Februari - John Maxwell Coetzee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2003
- 1 Aprili - Wangari Maathai, mwanasiasa kutoka Kenya na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2004
- 13 Aprili - J. M. G. Le Clézio, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2009
- 18 Aprili - Joseph Goldstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1985
- 22 Aprili - Damian Kyaruzi, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 15 Mei - Basil Pesambili Mramba, mwanasiasa wa Tanzania
- 24 Mei - Joseph Brodsky, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1987
- 9 Juni - Abdisalam Issa Khatib, mbunge wa Tanzania
- 7 Julai - Ringo Starr, mwanamuziki Mwingereza)
- 23 Agosti - Thomas Steitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2009
- 3 Septemba - Joseph Sinde Warioba, Waziri Mkuu wa Tanzania
- 7 Septemba - Dario Argento, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 9 Oktoba - John Lennon, mwanamuziki Mwingereza
- 13 Oktoba - Pharaoh Sanders, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 15 Oktoba - Peter Doherty, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1996
- 20 Novemba - Arieh Warshel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2013
- 27 Novemba - Bruce Lee, mtaalamu wa Kung Fu na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 8 Desemba - Fortunatus Lukanima, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 24 Desemba - Charles Ndiliana Ruwa Keenja, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 16 Machi - Selma Lagerlof, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1909
- 26 Aprili - Carl Bosch, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931
- 14 Mei - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 20 Mei - Verner von Heidenstam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1916
- 17 Juni - Arthur Harden, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929
- 30 Agosti - Joseph John Thomson, mwanafizikia kutoka Uingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1906
- 27 Septemba - Julius Wagner-Jauregg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1927
Wikimedia Commons ina media kuhusu: