(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Ahmed Alaoui - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ahmed Alaoui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ahmed Alaoui (alizaliwa mwaka 1949) ni Mmoroko, ambaye alicheza katika timu ya Moroko katika Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 1970.[1] Pia alicheza katika klabu ya RS Settat.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Alaoui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.