Amandine Buchard
Mandhari
![Buchard mnamo Agosti 8, 2021 huko Palais de Chaillot](https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/5/50/Amandine_Buchard_%28FRA%29_2021.jpg/220px-Amandine_Buchard_%28FRA%29_2021.jpg)
Amandine Buchard (alizaliwa tarehe 12 julai 1995) ni mfaransa mcheza judo.[1]Alifanikiwa kuiwakilisha ufaransa katika michezo ya olimpiki mwaka 2020 katika majira ya joto[2] na kutunukiwa medali ya fedha katika michezo ya watu wenye uzito nusu ya unaohitajika.pia alishinda medali ya dhahabu katika michezo ya timu mchanganyiko.[1]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 1.0 1.1 "Amandine Buchard", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-27, iliwekwa mnamo 2021-12-04
- ↑ "Amandine Buchard", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-11-27, iliwekwa mnamo 2021-12-04