Aston Villa F.C.
Mandhari
Aston Villa F.C.
Kuanzishwa | 21 Novemba 1874 |
---|---|
Jina rasmi | Aston Villa Football Club |
Nickname | |
Mchezo | mpira wa miguu |
Mwenyekiti | Nassef Sawiris |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
Kocha mkuu | Unai Emery |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Mahali pa nyumbani | Villa Park |
Inamilikiwa na | Wes Edens, Nassef Sawiris |
Mmiliki | Villa Park |
Eneo la makao makuu | Aston |
Tovuti | https://www.avfc.co.uk/ |
Historia ya mada | history of Aston Villa F.C. |
Rangi inayotambulika | bordeaux, sky blue |
Jamii ya washiriki | Category:Aston Villa F.C. players |
Aston Villa F.C. (majina ya utani: Villa, The Villa, The Villans na Lions) ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko huko Aston katikati ya mji wa Birmingham, Uingereza. Klabu ya soka ya Aston Villa iliundwa mwezi Machi 1874. Waanzilishi wanne wa Aston Villa walikuwa Jack Hughes, Frederick Matthews, Walter Price na William Scattergood.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Matthews, Tony (2000). "Aston Villa". The Encyclopedia of Birmingham City Football Club 1875–2000. Cradley Heath: Britespot. uk. 17. ISBN 978-0-9539288-0-4.
- ↑ Woodhall, Dave (2007). The Aston Villa Miscellany. Vision Sports Publishing Ltd. uk. 16. ISBN 978-1-905326-17-4.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Aston Villa F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |