(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Bernard Bragg - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Bernard Bragg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bernard Bragg (Septemba 27, 1928 - Oktoba 29, 2018) alikuwa mwigizaji kiziwi, mtayarishaji, mkurugenzi, mwandishi wa tamthilia, msanii,mwanzilishi mwenza wa ukumbi wa kitaifa wa viziwi na kwa michango yake katika utamaduni wa maonyesho ya Viziwi. Kulingana na gazeti la New York, Bragg alitambulika na wengi kama mwigizaji kiziwi maarufu zaidi kitaaluma nchini.[1][2]

  1. Times, Lewis Funke Special To the New York. "New Theater of Deaf Prepares a Sampler for TV", The New York Times, March 9, 1967. 
  2. Genzlinger, Neil. "Bernard Bragg, Who Showed the Way for Deaf Actors, Dies at 90", The New York Times, November 1, 2018. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernard Bragg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.