(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Bobby Tamale - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Bobby Tamale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Robert Tamale (anajulikana sana kama Bobby Tamale) ni mwigizaji na muandaaji wa filamu.

Alianza kazi yake ya kuigiza kupitia 'It Can't Be, tamthilia inayorushwa katika kituo cha televisheni WBS TV. Pia alipewa jina lakwanza la uigizaji kama Davis mwaka 2016 katika filamu ya kiganda ijulikanayo kama The Only Son (2016 filamu)|The Only Son. Pia alikuwa mtayarishaji mtendaji katika filamu.[1] Filamu ilipendekezwa katika vipengele sita(6) katika sherehe za filamu Uganda 2016 ikiwemo ubora wa video, ubora wa sauti, toleo bora la filamu, filamu ya mwaka, kiongozi bora wa filamu na filamu bora inayotamba.[2][3] Bobby alikuwa mtayarishaji mtendaji wa Tiktok (filamu)|Tiktok na Love Faces (filamu) zote zikiongozwa na Usama Mukwaya.

  1. Kaggwa, Andrew. "Richard Mulindwa's Only Son wins hearts". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-01. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Kaggwa, Andrew. "Mulindwa tops Uganda Film festival nominees". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-21. Iliwekwa mnamo 26 Mei 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Official list of Nominees for the 2016 Uganda Film Festival". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bobby Tamale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.