DMX
DMX | |
---|---|
DMX mnamo Februaria 2007. | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Earl Simmons |
Amezaliwa | Mount Vernon, New York, U.S. | Desemba 18, 1970
Amekufa | 9 Aprili 2021 (umri 50) |
Kazi yake | Rapa |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1985-2021 |
Studio | RAL, Island Def Jam, Def Jam, Ruff Ryders |
Earl Simmons (Desemba 18, 1970 – Aprili 9, 2021), aliyejulikana kisanii kama DMX, alikuwa msanii wa rap na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Alichukuliwa kama mtu mwenye ushawishi mkubwa katika muziki wa hip hop mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000,[1] muziki wake unajulikana kwa mtindo wake wa kurap kwa "zogo",[2] huku maudhui ya mashairi yake yakibadilika kutoka kwenye mada za hardcore hadi maombi.[3][4]
DMX alianza kurap mwanzoni mwa miaka ya 1990. Baada ya kipindi kisicho na mafanikio akiwa na Columbia Records, alisaini na Ruff Ryders Entertainment kupitia mkataba wa ushirikiano na Def Jam Recordings ili kutoa albamu yake ya kwanza, It's Dark and Hell Is Hot (1998), ambayo ilipokelewa kwa mafanikio makubwa ya kibiashara na kiufasaha—ikiuza nakala 251,000 katika wiki yake ya kwanza na kutoa wimbo ulioshika nafasi ya juu kwenye Billboard Hot 100, "Ruff Ryders Anthem".[5][6] Ilikuwa ya kwanza kati ya albamu zake tano zilizofuatana kufungua nafasi ya kwanza kwenye chati ya Billboard 200, na kumfanya DMX kuwa msanii wa kwanza katika historia ya chati hiyo kufanikiwa hivyo. Albamu yake ya pili, Flesh of My Flesh, Blood of My Blood (1999) ilifuatiwa na albamu ya tatu, ... And Then There Was X (1999), ambayo ikawa albamu yake iliyouzwa zaidi na iliungwa mkono na wimbo wake wa pili ulioshika nafasi ya juu kwenye chati, "Party Up (Up in Here)". Albamu yake ya nne, The Great Depression (2001) ilifuatiwa na albamu ya tano, Grand Champ (2003), iliyokuwa na wimbo wa kwanza "Where the Hood At?" na ikijumuisha wimbo wa ziada wa kimataifa "X Gon' Give It to Ya".[7] Ingawa matoleo yake yaliyofuata hayakupata mafanikio makubwa kitahakiki na kibiashara, kufikia mwaka 2021, DMX alikuwa ameuzwa zaidi ya nakala milioni 75 duniani kote.[8]
DMX alionekana kwenye filamu kama Belly (1998), pamoja na Nas, Romeo Must Die (2000) na Cradle 2 the Grave (2003), pamoja na Jet Li, Exit Wounds (2001) na Beyond the Law (2019), pamoja na Steven Seagal, na Last Hour (2008), pamoja na Michael Madsen. Mnamo mwaka 2006, alicheza kama nyota katika kipindi cha televisheni cha uhalisia DMX: Soul of a Man, ambacho kilirushwa hewani hasa kwenye mtandao wa BET wa cable television. Mwaka 2003, alichapisha kitabu cha kumbukumbu zake kilichoitwa E.A.R.L.: The Autobiography of DMX.[9]
Diskograia
[hariri | hariri chanzo]- Albamu
- It's Dark and Hell Is Hot (1998)
- Flesh of My Flesh, Blood of My Blood (1998)
- ... And Then There Was X (1999)
- The Great Depression (2001)
- Grand Champ (2003)
- Year of the Dog... Again (2006)
- Undisputed (2012)
- Exodus (2021)
Filmoragia
[hariri | hariri chanzo]Films
Mwaka | Jina la filamu | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
1998 | Belly | Tommy "Buns" Bundy | [10] |
2000 | Romeo Must Die | Silk | [10] |
Backstage | DMX | [11] | |
Boricua's Bond | DMX | ||
2001 | Exit Wounds | Latrell Walker | [10] |
2003 | Cradle 2 the Grave | Anthony Fait | [10] |
2004 | Never Die Alone | King David | [11] |
2006 | Father of Lies | Paul | Moja kwa moja katika DVD.[11] |
2007 | Death Toll | The Dog | Moja kwa moja katika DVD.[11] |
2008 | Last Hour | Black Jack | Moja kwa moja katika DVD.[11] |
Lords of the Street | Thorn | Originally titled Jump Out Boys[11] | |
2009 | Lockjaw: Rise of the Kulev Serpent | Nick | Moja kwa moja katika DVD.[11] |
The Bleeding | Tagg | Moja kwa moja katika DVD.[11] | |
2013 | King Dog | Terrell (TJ) Johnson | Moja kwa moja katika DVD.[12] |
Blame It on the Hustle | — | Moja kwa moja katika DVD.[13] | |
2014 | Top Five | DMX | Ameuza sura[14] |
Journey to Sundance | DMX | Makala ya TV | |
2017 | Can't Stop, Won't Stop: A Bad Story | DMX | Makala ya TV |
2018 | Pimp | Midnight John | [11] |
The After Party | DMX | Ameuza sura | |
2019 | Beyond the Law | Detective Ray Munce | [11] |
2020 | Fast and Fierce: Death Race | Davie | [15] |
Chronicle of a Serial Killer | Detective White | [16] | |
2021 | DMX: Don't Try to Understand | DMX | Makala ya TV |
rowspan="3" Kigezo:TBA | Fast Vengeance | Hatua za mwisho | |
Doggmen | Cowboy | Inachezwa | |
A Journey to Sundance | DMX | Makala ya TV |
Video games
Mwaka | Jina | Uhusika | Maelezo |
---|---|---|---|
2002 | Street Hoops | DMX | Sauti pekee |
2003 | Def Jam Vendetta | DMX | Sauti na mwonekano wake[17] |
Television
Mwaka | Jina | Uhusika | Maelzo |
---|---|---|---|
1998 | The Chris Rock Show | DMX | [11] |
2000 | Moesha | DMX | "Gimme a Break" (season 5, episode 18)[11] |
2000–02 | MadTV | DMX | 2 episodes[18] |
2002 | Half & Half | DMX | "The Big Sistah Sans Soul" (season 1, episode 7)[11] |
2003 | Third Watch | Kandid Jones | "In Lieu of Johnson" (season 5, episode 92)[11] |
Eve | Xenon | "She Snoops to Conquer" (season 1, episode 3)[11] | |
$2 Bill | DMX | "Episode DMX, Method Man and Ludacris" | |
2004 | Chappelle's Show | DMX | Music guest (season 2, episode 16)[19] |
Jimmy Kimmel Live! | DMX | Season 3, episode 57[20] | |
The Sharon Osbourne Show | DMX | [21] | |
2005 | Trippin' | DMX | 2 episodes[22] |
2006 | DMX: Soul of a Man | DMX | Documentary[23] |
2008 | Big Pun: The Legacy | DMX | Documentary[24] |
2011 | Lifechangers | DMX | 2 episodes[25] |
2012 | Couples Therapy | DMX | Documentary[26] |
2013 | Iyanla, Fix My Life | DMX | "Fix My Rap Star Life" (season 2, episode 1)[27] |
2015 | Fresh Off the Boat | DMX | Season 2, episode 9[28] |
2017 | Black Ink Crew | DMX | Season 5, episode 14[29] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs named:bey
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs named:hard
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedallmusic
- ↑ Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedpitchfork
- ↑ Birchmeier, Jason (Mei 12, 1998). "It's Dark and Hell Is Hot – DMX". AllMusic. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 4, 2021. Iliwekwa mnamo Aprili 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "50 Greatest MCs of Our Time (1987–2007)", About.com.
- ↑ Carissimo, Justin; Jones, Zoe Christen (Aprili 9, 2021). "DMX, electrifying rapper who defined 2000s rap, dies at 50". CBS News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 15, 2021. Iliwekwa mnamo Aprili 11, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kigezo:Cite magazine
- ↑ Kigezo:Cite magazine
- ↑ 10.0 10.1 10.2 10.3 "DMX to play himself in Chris Rock movie", New Zealand Herald, August 15, 2013.
- ↑ 11.00 11.01 11.02 11.03 11.04 11.05 11.06 11.07 11.08 11.09 11.10 11.11 11.12 11.13 11.14 "DMX". Rotten Tomatoes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Septemba 24, 2010. Iliwekwa mnamo Aprili 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "King Dog the Movie". Kingdogthemovie.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Desemba 17, 2014. Iliwekwa mnamo Aprili 17, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Blame It On The Hustle". Blogs.indiewire.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 19, 2012. Iliwekwa mnamo Aprili 17, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "DMX Dies at 50: Relive His 'Top Five' Cameo For The "Smile" We All Need Today", April 9, 2021.
- ↑ "Fast and Fierce: Death Race (2020)", April 9, 2021.
- ↑ "Hip Hop Legend DMX Stars In Gritty Thriller 'Chronicle of a Serial Killer'; Trailer and Poster Art Revealed!", August 27, 2020.
- ↑ "DEF JAM VENDETTA: THE STRANGE STORY OF THE GREATEST HIP-HOP WRESTLING GAME EVER", Joe, August 2020.
- ↑ "DMX, Rapper and Actor, Dies at 50", TV Insider, April 10, 2021.
- ↑ "CHAPPELLE'S SHOW". Comedy Central. Januari 21, 2003. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 25, 2021. Iliwekwa mnamo Aprili 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "ABC Announces the Third Season Pick-Up of 'Jimmy Kimmel Live,' the Popular Late-Night Talk Show, Through the 2005 Season". ABC. Oktoba 20, 2004. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 7, 2024. Iliwekwa mnamo Aprili 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rebel without an Ozz". Rotten Tomatoes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Juni 7, 2021. Iliwekwa mnamo Aprili 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Trippin' With Diaz", South Florida Sun Sentinel, March 30, 2005.
- ↑ "DMX Remembered Tonight By BET With Special Programming Block", Deadline, April 9, 2021.
- ↑ "Big Pun Remembered, New Documentary On The Way", AllHipHop, February 7, 2009.
- ↑ "DMX TALKS ESCAPING FROM PRISON ON DR. DREW'S 'LIFECHANGERS'", MTV, November 10, 2011. Retrieved on 2024-10-06. Archived from the original on 2021-04-10.
- ↑ "'Couples Therapy': DMX Breaks Down As He Talks About His Mother (VIDEO)", HuffPost, April 23, 2012.
- ↑ "DMX WANTS TO RETURN TO IYANLA VANZANT'S 'FIX MY LIFE'", The Source, January 15, 2019.
- ↑ "Fresh Off the Boat recap: We Done Son", EW, December 2, 2015.
- ↑ "He Signs Your Checks…". VH1. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 5, 2020. Iliwekwa mnamo Aprili 10, 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Angalia mengine kuhusu DMX kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
picha na media kutoka Commons | |
nukuu kutoka Wikiquote |
- DMX katika Discogs
- DMX at the Internet Movie Database
Kigezo:American Music Award for Favorite Rap/Hip-Hop Artist Kigezo:Portal bar