Hip hop ya Kitanzania
Mandhari
Hip hop ya Kitanzania kwa ujumla hujulikana kama Bongo Flava. Bongo Flava inajumuisha midungo mikubwa mbalimbali, lakini inafahamika sana kwa ushiriki wake katika pop ya Kitanzania. Kumekuwa na mdahalo juu ya Bongo Flava, ambayo imeunganisha na kuanishwa kama miondoko pop, je, kwamba bado inaweza kufuzishwa katika istilahi ya "hip hop" na sio katika harakati za muziki wenyewe ulivyo[1], wakati inaanza inatengeneza sauti nzito ya kipekee ambayo inatofautiana kabisa na hardcore rap au, kwa mfano, kundi la hip hop la Kimasai la X Plastaz, ambao wanatumia mila za kabila la Kimaasai ikiwa kama mtindo wa muziki wao[2].
Wasanii wa Bongo Flava
[hariri | hariri chanzo]- Mkoloni
- Panishee Mdudu
- Mr. II (aka Sugu)
- Noorah
- Q-Chief
- Park Lane
- Phat Family
- Professor Jay
- Balozi Dola
- X-Plastaz
- Saleh J
- D-Knob
- Mr Blue
- Pingu na Deso
- Mangwair
- Joselyn
- Pig Black
- Jay Mo
- Solo Thang
- Mwana FA
- A.Y.
- GK
- Dully Sykes
- TID
- Joe Makini
- Afande Sele
- Fid Q
- Nako 2 Nako
- CPwaa
- Matonya
- Suma lee
- Chidi Benz
- Kali P
- Ali Kiba
- Lady Jay Dee
- Ferooz
- A.T.
- Stara Thomas
- Joe Makini
- Hussien Machozi
- Diamond Platnumz
- Belle 9
- Mandojo & Domokaya
- Tundaman
- K - Lynn
- Ray C
- Z-Anto
- Pasha
- Side Boy
- Kassim
- Amin
- Chege
- Juma Nature
- Banana Zorro
- Maunda Zorro
- Zahir Ally Zorro
- Fresh Jumbe
- Mh. Temba
- BOB Junior
- Mr.Tz
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Thomas, A, "X Plastaz & Bongo Flava: Tanzanian hip hop released internationally", [1], africanhiphop.com
- ↑ "Martin, Lydia. "Bongo Flava: Swahili Rap from Tanzania." afropop.org". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-12-17. Iliwekwa mnamo 2010-11-20.