Ichiro Mizuki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ichiro Mizuki
Ichiro Mizuki ya Japan Expo 2007
Ichiro Mizuki ya Japan Expo 2007
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Aniki
Nchi Ujapani
Alizaliwa 7 Januari 1948
Tokyo, Japani
Kazi yake Mwanamuziki, Msanii, Mchezaji
Miaka ya kazi mn. 1968 -
Ameshirikiana na JAM Project, Mitsuko Horie, Hironobu Kageyama

Ichiro Mizuki (水木みずき一郎いちろう, Mizuki Ichirou) (amezaliwa 7 Januari 1948 mjini Tokyo) alikuwa mwanamuziki, msanii na mchezaji wa Japani. Jina lake la kuzaliwa ni Toshio Hayakawa (早川はやかわ俊夫としお, Hayakawa Toshio). Anafahamika zaidi kama Aniki. Alikuwa anapiga muziki wa anison na J-pop. Nyimbo alizowahi kuimba ni "Mazinger Z", "Great Mazinger", "Steel Jeeg", "Combattler V", "Captain Harlock", "Golion" na "Jikuu Senshi Spielvan".

Ichiro Mizuki ajiunga na shule ya Setagaya Gakuen School, yeeanza na shughuli solo chake ya 1968, amepata umaarufu zaidi baada ya kutoa singles yake ya "Kimi ni sasageru Boku no Uta" na "Dare mo inai Umi". Katika miaka ya 70 alivuma sana na albamu yake ya Mazinger Z iliyovunja rekodi ya mauzo kwa kuuza nakala 700,000. Katika 2000, aliingia kundi la muziki wa anison JAM Project kwa Hironobu Kageyama, Masaaki Endou, Eizo Sakamoto na Rica Matsumoto.

Albamu Alizotoa Ichiro Mizuki

  • 1989: OTAKEBI Sanjou! Hoeru Otoko Ichiro Mizuki Best (OTAKEBI参上さんじょう!えるおとこ 水木みずき一郎いちろうベスト)
  • 1990: Ichiro Mizuki OTAKEBI 2 (水木みずき一郎いちろう OTAKEBI2)
  • 1990: Ichiro Mizuki All Hits Vol.1 (水木みずき一郎いちろう だい全集ぜんしゅうVol.1)
  • 1991: Ichiro Mizuki All Hits Vol.2 (水木みずき一郎いちろう だい全集ぜんしゅうVol.2)
  • 1991: Ichiro Mizuki Ballade Collection ~SASAYAKI~ Vol.1 (水木みずき一郎いちろうバラード・コレクション~SASAYAKI~Vol.1)
  • 1991: Ichiro Mizuki All Hits Vol.3 (水木みずき一郎いちろう だい全集ぜんしゅうVol.3)
  • 1992: Ichiro Mizuki All Hits Vol.4 (水木みずき一郎いちろう だい全集ぜんしゅうVol.4)
  • 1992: Ichiro Mizuki All Hits Vol.5 (水木みずき一郎いちろう だい全集ぜんしゅうVol.5)
  • 1993: Dear Friend
  • 1994: Ichiro Mizuki no Tanoshii Asobi Uta (水木みずき一郎いちろうのたのしいあそびうた)
  • 1995: Ichiro Mizuki Best & Best (水木みずき一郎いちろう ベスト&ベスト)
  • 1997: ROBONATION Ichiro Mizuki Super Robot Complete (ROBONATION 水木みずき一郎いちろうスーパーロボットコンプリート)
  • 1998: Neppuu Densetsu (熱風ねっぷう伝説でんせつ)
  • 1999: Neppuu Gaiden -Romantic Master Pieces- (熱風ねっぷう外伝がいでん-Romantic Master Pieces-)
  • 2001: Aniki Jishin ~30th Anniversary BEST~ (アニキ自身じしん~30th Anniversary BEST~)
  • 2004: Ichiro Mizuki Best of Aniking -Red Spirits- (水木みずき一郎いちろう ベスト・オブ・アニキング -あかたましい-)
  • 2004: Ichiro Mizuki Best of Aniking -Blue Spirits- (水木みずき一郎いちろう ベスト・オブ・アニキング -あおたましい-)

Nyimbotaja

Anime

Mchezo wa video

Tokusatsu

Filamu Alizoigiza

Anime

Tokusatsu

Mchezo wa video

Fasihi

  • Hitoshi Hasebe: "Anison - Kashu Ichiro Mizuki Sanjuu Shuunen Kinen Nekketsu Shashinshuu" (あにみこと(アニソン)―歌手かしゅ水木みずき一郎いちろうさんじゅう周年しゅうねん記念きねん熱血ねっけつ写真しゃしんしゅう) (1999, Oakla Publishing) ISBN 4-8727-8461-8
  • Ichiro Mizuki & Project Ichiro: "Aniki Damashii ~Anime Song no Teiou / Mizuki Ichirou no Sho~" (アニキたましい~アニメソングの帝王ていおう水木みずき一郎いちろうしょ~) (2000, Aspect) ISBN 4-7572-0719-0

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ichiro Mizuki kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.