(Translated by https://www.hiragana.jp/)
John H. Knox - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

John H. Knox

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John H. Knox alikuwa ripota maalum wa kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu na masuala ya mazingira akihudumu kuanzia 2012 hadi 2018.[1]

Knox kwa sasa ni Profesa wa sheria ya Kimataifa katika chuo kikuu cha Wake Forest.

  1. "John H. Knox". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-11. Iliwekwa mnamo 2022-05-14. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)