(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Kayimit - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kayimit

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kayimit ni visiwa pacha vya bahari ya Karibi karibu na Haiti.

Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 45 na wakazi 18,000.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kayimit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.