(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Kibwaidoka - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kibwaidoka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kibwaidoka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wabwaidoka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kibwaidoka imehesabiwa kuwa watu 6500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibwaidoka iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibwaidoka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.