Kilahu
Mandhari
Kilahu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina, Myanmar, Laos, Vietnam na Uthai inayozungumzwa na Walahu. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilahu imehesabiwa kuwa watu 280,000 nchini Uchina. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Myanmar (2012), 32,000 nchini Uthai (2001), 8700 nchini Laos (1995) na 9650 nchini Vietnam (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilahu iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilahu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilahu Archived 13 Januari 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilahu katika Glottolog
- lugha ya Kilahu kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilahu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |