(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Kipimanjia - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kipimanjia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kipimanjia
Kipimanjia koo-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Horsfield, 1821
Ngazi za chini

Jenasi 2

Vipimanjia au minaana ni ndege wadogo wa jenasi Anthus na Madanga katika familia ya Motacillidae. Zamani jenasi Madanga iliainishwa katika familia Zosteropidae (vinengenenge).

Ndege hawa wana rangi za kamafleji: nyeupe au njano chini na kijivu au kahawia juu. Makucha yao ya nyuma ni marefu kuliko yale ya matikisa. Takriban spishi zote hupatikana ardhini. Hula wadudu hasa na mbegu pia. Tago lao ni kikombe cha manyasi ardhini na jike huyataga mayai 2-6.

Spishi za Afrika

[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine

[hariri | hariri chanzo]