(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Kipimbwe - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kipimbwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipimbwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapimbwe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipimbwe imehesabiwa kuwa watu 29,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipimbwe iko katika kundi la M10.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Unterwelz, R. 1925. Ethnographische Notizen über die Pimbwe. Zeitschrift für Ethnologie, 57 (3/6), uk.241-245.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipimbwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.