(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Kisekapan - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kisekapan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisekapan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasekapan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kisekapan imehesabiwa kuwa watu 750 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekapan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisekapan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.