Linus Torvalds

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Linus Torvalds mnamo 2018

Linus Benedict Torvalds (alizaliwa 28 Desemba, 1969) ni mhandisi wa programu wa Marekani ambaye kihistoria ndiye muundaji mkuu wa Linux kernel, inayotumiwa na aina mbalimbali za Linux na mifumo mingine ya uendeshaji kama vile Android

Alitunukiwa, pamoja na Shinya Yamanaka tuzo ya Teknolojia mnamo 2012 na Chuo cha Teknolojia cha Finland "kwa kutambua uundaji wake wa mfumo mpya wa uendeshaji katika kompyuta zinazoongozwa na Linux kernel ."[1] Pia ndiye mpokeaji wa tuzo ya Computer Society Computer Pioneer Award mnamo mwaka 2014 [2] na tuzo ya IEEE Masaru Ibuka Consumer Electronics Award mnamo 2018.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Technology Academy Finland – Stem cell pioneer and open source software engineer are 2012 Millennium Technology Prize laureates". Technologyacademy.fi. 19 Aprili 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Januari 2014. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Computer-Pioneer-Award". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 5 Mei 2014. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "List of IEEE Masaru Ibuka Consumer Electronics Award recipients" (PDF). ieee.org. 3 Aprili 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 28 Machi 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linus Torvalds kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.