(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Lucapa - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Lucapa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lucapa ni mji uliopo mashariki mwa nchi ya Angola katika mkoa wa Lunda Kaskazini.

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikuwa 27,236[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lucapa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.