Lugha za Kiaustro-Asiatiki
Mandhari
Lugha za Kiaustro-Asiatiki ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika nchi za Asia ya Kusini-Mashariki. Katika familia hiyo kuna lugha 168 zenye wasemaji takriban milioni 100. Lugha za Kiaustro-Asiatiki zenye wasemaji wengi mno ni Kivietnam na Kikhmer ambazo moja ni lugha rasmi nchini Vietnam na nyingine nchini Kamboja.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiaustro-Asiatiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |