(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Mafanikio - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mafanikio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mafanikio ni ukamilishaji wa malengo yanayoipatia nchi, jamii au mtu binafsi ustawi, afya njema au hadhi. Mafanikio pia hujulikana kama ufanisi, maendeleo au neema.

Mafanikio hupatikana baada ya kumaliza shughuli fulani au kitu fulani.