(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Magu Mjini - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Magu Mjini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Magu Mjini
Magu Mjini is located in Tanzania
Magu Mjini
Magu Mjini

Mahali pa Magu Mjini katika Tanzania

Majiranukta: 2°35′22″S 33°26′39″E / 2.58944°S 33.44417°E / -2.58944; 33.44417
Nchi Tanzania
Mkoa Mwanza
Wilaya Magu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 9,941

Magu Mjini ni kata, mji mdogo na makao makuu ya Wilaya ya Magu katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Msimbo wa posta ni 33401.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 9,941 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 23,822 waishio humo.[2]

Kata za Wilaya ya Magu - Mkoa wa Mwanza - Tanzania

Buhumbi | Bujashi | Bujora | Bukandwe | Chabula | Isandula | Itumbili | Jinjimili | Kabila | Kahangara | Kandawe | Kisesa | Kitongo Sima | Kongolo | Lubugu | Lutale | Magu Mjini | Mwamabanza | Mwamanga | Ng'haya | Nkungulu | Nyanguge | Nyigogo | Shishani | Sukuma


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magu Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.