(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Matopeni, Nairobi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Matopeni, Nairobi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Matopeni, Nairobi ni mtaa fukara[1] ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika eneo bunge la Embakasi ya Kati. Pamoja na Spring Valley unaunda kata mojawapo ya kaunti ya Nairobi.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2021-06-18.