(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Meriem Sassi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Meriem Sassi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Meriem Sassi (alizaliwa 1 Aprili 1991) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Alicheza kama golikipa wa Klabu ya Al-Nahda fc huko Saudia pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1][2]

  1. "Meriem Sassi Stats". FBref. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Orodha ya wachezaji" [List of players invited to face Jordan]. arriadhia.net (kwa Kiarabu). 1 Juni 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-22. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Meriem Sassi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.