(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Mimba - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mimba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mimba ya binadamu wiki 10 hivi iliyotolewa tumboni mwa mama kwa njia ya upasuaji.
Mimba ya binadamu ilivyo wiki 12 hivi baada ya kutungwa.

Mimba ni mtoto wa mamalia ambaye anakua katika tumbo la uzazi la mama yake hadi azaliwe.

Ukuaji huo unaendelea moja kwa moja, bila kupitia hatua zilizo wazi, ingawa pengine lugha zinatumia misamiati tofauti kadiri ya siku au wiki zilizopita tangu mimba itungwe.

Muda wa ukuaji huo wote ni tofauti kadiri ya spishi husika. Kwa binadamu ni miezi 9 hivi.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mimba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.