Mkoa wa Cavally
Mandhari
Mkoa wa Cavally | |
Mahali pa Mkoa wa Cavally (machungwa) katika Cote d'Ivoire |
|
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Montagnes |
Serikali[1] | |
- Prefect | Kone Messamba |
- Rais wa Baraza | Dagobert Banzio |
Eneo[2] | |
- Jumla | 11,376 km² |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 459,964 |
GMT | (UTC+0) |
Mkoa wa Cavally (kwa Kifaransa:Région du Cavally) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.
Uko katika Magharibi ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Guiglo. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 459,964.
Cavally kwa sasa imegawanywa katika wilaya nne:
.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
- ↑ "Cavally" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Cavally kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |