(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Mto Kuruguta - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mto Kuruguta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mto Kuruguta unapatikana katika wilaya ya Kasese, magharibi mwa Uganda.

Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]