(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Mto Nyagak - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mto Nyagak

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mito na maziwa ya Uganda.

Mto Nyagak unapatikana kaskazini mwa Uganda (wilaya ya Zombo na wilaya ya Arua).

Ni tawimto la mto Ora, ambao maji yake yanachangia Nile Nyeupe.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]