Mto Oder
Mandhari
Chanzo | Chekoslovakia |
Mdomo | Bahari Baltiki |
Nchi | Chekoslovakia, Poland, Ujerumani |
Urefu | km 866 |
Kimo cha chanzo | mita 634 |
Miji mikubwa kando lake | Ostrava, Opole, Breslau, Zielona Góra, Frankfurt (Oder), Stettin |
Mto Oder (kwa Kicheki na Kipoland: Odra) ni mto wa Ulaya ya Kati.
Chanzo chake kipo katika Jamhuri ya Kicheki, inapita katika Silesia (Poland) hadi kuwa mpaka baina ya Ujerumani na Poland. Kilomita chache kabla ya kuishia katika Bahari Baltiki unaingia tena ndani ya Poland ukipita mjini Stettin - Szczecin hadi kufika baharini.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Oder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |