(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Omar Shabani Kwaangw' - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Omar Shabani Kwaangw'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Omar Shabani Kwaangw' (amezaliwa tar. 2 Julai 1954) ni mbunge wa jimbo la Babati Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Omar Shabani Kwaangw'". 17 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje

[hariri | hariri chanzo]