(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Orodha ya Marais wa Zimbabwe - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya Marais wa Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bendera ya Rais wa Zimbabwe

Ukarasa huu una orodha ya marais wa Zimbabwe:

# Jina
(miaka ya maisha)
Picha Muda wa Utawala Chama
1 Canaan Banana
1936-2003
18 Aprili 1980 31 Desemba 1987 (ZANU)
2 Robert Mugabe
1924-2019
31 Desemba 1987 21 Novemba 2017 (ZANU–PF)
3 Emmerson Mnangagwa 21 Novemba 2017 (ZANU–PF)

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: