Panna Rittikrai
Mandhari
Panna Rittikrai | |
---|---|
Mwigizaji/mchekeshaji Petchtai Wongkamlao (kushoto), na mwongozaji Panna Rittikrai wakiuzuria sherehe za waandishi wa habari kwa ajili ya kuitangaza filamu ya Tom-Yum-Goong mnamo tar. 4 Agosti 2005 katika Major Cineplex Ratchayothin mjini Bangkok. | |
Amezaliwa | Khon Kaen, Thailand |
Kazi yake | Martial arts - mkoreografia, mwongozaji wa filamu, mwandikaji skrini |
Panna Rittikrai (Februari 17, 1961 – Julai 20, 2014) alikuwa mwigizaji wa filamu, mtendaji martial arts, mwanakoreografia, mwongozaji wa filamu, na mwandishi wa miswada ya filamu kutoka nchini Thailand. Huyu ndiye kiongozi wa timu nzima ya mastanti wa Muay Thai Stunt. Anafahamika zaidi kwa kazi zake za kimartial arts na ukoreografia wa kwenye filamu ya mwaka wa 2003 Ong-Bak: Muay Thai Warrior na 2005 Tom-Yum-Goong (kule Marekani inajulikana kama The Protector), ambayo ilichezwa na Tony Jaa, ambaye Panna ndiye aliyemshauri aingie kwenye filamu na kumsimamia.
Kifo chake kilisabaishwa na ini kushindwa kufanya kazi. Baadaye alikuja kugundulika kama alikuwa na uvimbe katika ubongo.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Filamu za awali
[hariri | hariri chanzo]Kupata umaarufu wa kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Sehemu ya filmografia yake
[hariri | hariri chanzo]Mwongozaji
[hariri | hariri chanzo]- Kerd ma lui (1979)
- Nuk leng klong yao (2001)
- Kon dib lhek nam pee (2001)
- Kerd ma lui (Born to Fight) (2004)
Martial arts na mkoreografia
[hariri | hariri chanzo]- The Legend of Suriyothai (2001) (kama Panna Ritthikrai)
- Ong-Bak: Muay Thai Warrior (2003)
- Kerd ma lui (Born to Fight) (2004)
- Tom-Yum-Goong (2005)
- Mercury Man (2006)
- Ong Bak 2 (2008)
- Chocolate (2008)
Mwigizaji
[hariri | hariri chanzo]- Dynamite Warrior (2006)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Panna Rittikrai kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |