Papa Leo VIII
Mandhari
Papa Leo VIII alikuwa Papa kuanzia mwezi Desemba 963 hadi kifo chake mnamo Machi 965[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Yohane XII akafuatwa na Papa Benedikto V.
Leo VIII aliteuliwa na Kaisari Otto I wa Ujerumani mnamo Desemba 963 lakini hakupokewa vizuri kwa vile Papa Yohane XII, aliyelazimishwa kujiuzulu, alikuwa bado hai.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |