Pilosa
Mandhari
Pilosa | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mlasisimizi mkubwa (Myrmecophaga tridactyla)
| ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusuoda 2, familia 4:
|
Pilosa ni jina la Kisayansi cha oda ya walasisimizi na slothi.
Mwainisho
[hariri | hariri chanzo]Oda Pilosa
- Nusuoda Vermilingua
- Familia Cyclopedidae
- Cyclopes didactylus, Mlasisimizi-hariri (Silky Anteater)
- Familia Myrmecophagidae
- Myrmecophaga tridactyla, Mlasisimizi Mkubwa (Giant Anteater)
- Tamandua mexicana, Tamandua Kaskazi (Northern Tamandua)
- Tamandua tetradactyla, Tamandua Kusi (Southern Tamandua)
- Familia Cyclopedidae
- Nusuoda Folivora
- Familia Bradypodidae: Slothi vidole-vitatu
- Bradypus pygmaeus, Slothi Mdogo (Pygmy Three-toed Sloth)
- Bradypus variegatus, Slothi Koo-kahawia (Brown-throated Three-toed Sloth)
- Bradypus tridactylus, Slothi Koo-jeupe (Pale-throated Three-toed Sloth)
- Bradypus torquatus, Slothi Manyoya-marefu (Maned Three-toed Sloth)
- Familia Choloepodidae: Slothi vidole-viwili
- Choloepus hoffmanni, Slothi Kaskazi (Hoffman's Two-toed Sloth)
- Choloepus didactylus, Slothi Kusi (Southern Two-toed Sloth)
- Familia Bradypodidae: Slothi vidole-vitatu
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pilosa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |