Ras al-Khaimah
Mandhari
Ras Al-Khaimah (Kiar.: رأس الخيمة "Rasi ya hema") ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi.
Eneo lake ni 1700 km². Jumla hili limegawiwa kwa sehemu mbili zinazotenganishwa na maeneo ya falme nyingine. Kuna wakazi 250,000.
Mtawala wake ni Sheikh Saqr bin Mohammad al-Qassimi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- WorldStatesmen
- RAK Free Trade Zone Archived 3 Januari 2019 at the Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- RAK e-Government portal
- RAK Police Archived 18 Desemba 2014 at the Wayback Machine. - in Arabic
- Ras Al Khaimah Chamber of Commerce, Industry and Agriculture Archived 5 Januari 2007 at the Wayback Machine.
- Ras Al Khaimah Business Club Archived 23 Novemba 2020 at the Wayback Machine.
- Ras Al Khaimah Ex-pat community site Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- Satellite map of Ras al Khaimah Archived 10 Desemba 2005 at the Wayback Machine.
- Region Map and Satellite Map of Ras al Khaimah Archived 25 Desemba 2005 at the Wayback Machine.
- Space Adventures Announces $265 Million Global Spaceport Development Project Archived 15 Novemba 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ras al-Khaimah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |