(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Rekodi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Rekodi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Rekodi (kutoka Kiingereza: record) ni kumbukumbu au maelezo ya matukio au maelekezo yanayofanywa kwa madhumuni ya kumbukumbu, kwa mfano kwa ajili ya kesi. Inaweza pia kumaanisha kazi ya kurekodi sauti au video ya mchezaji au msanii.

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.