(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Ronika Tandi - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Ronika Tandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kazi ya Sanaa ya Ronika Tandi

Ronika Tandi (alizaliwa

Kariba,nchini Zimbabwe, mnamo mwaka 1975) ni msanii na mchongaji wa sanamu wa Zimbabwe.

Awali alijulikana kwa jina la uchongaji mawena mara nyingi zenye kufurahisha, sura isiyo naksishiwa ambayo huwa kama jiwe halisia.[1][2][3][4]

Tandi alizaliwa pembezoni mwaziwa Kariba, mnamo mwaka 1975.[1][2][5] Ndugu zake wengi wa kuzaliwa ni wasanii wa sanaa za uchongaji wa mawe.[1]

Alisoma kwenye National Gallery huko Zimbabwe karakana la BAT mnamo mwaka 2007.[2][6] Mchongaji mwenzake Eddie Masaya alikuwa muhamasishaji wa kwanza muhimu katika kazi yake.[5][7]

Mnamo mwaka 2006, Kazi ya Tandi ilionyeshwa kwenye bustani ya ubalozi wa Ujerumani katika mji wa Harare.[5]Aligawanya muda wake kati ya Zimbabwe najerumani, ambapo aliendesha sanaa ndogo ya Zim Afrika Gallery.[2][8][4] Mnamo mwaka 2011, Aliwakilisha Wachongaji wa Zimbabwe katika ufunguzi wa 54th Venice Biennale.[2]

Pamoja na viongozi wa Shule ya Emerald Hill ya Zimbabwe kwa viziwi, ambapo alijitolea tangu mwaka 2007, mnamo mwaka 2011 'Tandi alianzisha kituo cha sanaa cha Shungu. Kituo kilijizatiti katika kusajili wanafunzi wa shule na kuwaandaa kwa ajili ya kazi ya sanaa.[1] Pia ni mwanzilishi wa ushiriki wa Takunda Shungu Trust, ambao umesaidia kufundisha watoto viziwi na watoto wengine ambao ni walemavu, na kukuza kazi ya wanasanaa viziwi.[9][10][11]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 Makoni, Jane. "Stone carving centre gives work to deaf children", The Zimbabwean, 2012-05-01. Retrieved on 2021-03-20. Archived from the original on 2012-10-07. 
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 2.4 Zimoyo, Tafadzwa (2018-10-22). "Sculptor takes four-years of meditation". The Herald (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2021-02-04.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  3. "Aus Afrika nach Hembach". Nord Bayern (kwa Kijerumani). 2020-05-25. Iliwekwa mnamo 2021-02-04.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  4. 4.0 4.1 Lozina, Kristian (2016-08-09). "Kulturbotschafter aus Simbabwe in Hohenroth". Main Post (kwa Kijerumani). Iliwekwa mnamo 2021-02-04.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  5. 5.0 5.1 5.2 "Ausstellung AFRIKA vom 9. Juni bis 31. Juli in der Foyer-Galerie". Gemeinde Rednitzhembach (kwa Kijerumani). Juni 2011. Iliwekwa mnamo 2021-02-04.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: url-status (link)
  6. "Zimbabwe: Economic Woes a Passing Phase", The Herald, 2007-11-28. 
  7. Monda, Tony (2015-09-17). "Gender from an African perspective in stone sculpture". The Patriot (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-21. Iliwekwa mnamo 2021-02-04. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  8. "Alpirsbach: Der Stein wird zum Partner". Schwarzwälder Bote (kwa Kijerumani). 2016-04-29. Iliwekwa mnamo 2021-02-04.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
  9. Mögele, Bastian (2018-11-18). "Neues von Takunda Shungu Trust". ZimRelief e.V. (kwa Kijerumani). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-15. Iliwekwa mnamo 2021-02-04. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  10. "Shungu Trust for Deaf Youths to hold art exhibition". Daily News (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2020-01-29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-02-14. Iliwekwa mnamo 2021-02-04. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  11. "Schlossparkrunde: Bernhard „Bam" Epple will 219 Kilometer laufen". Kreisbote (kwa Kijerumani). 2020-08-25. Iliwekwa mnamo 2021-02-04.{{cite web}}: CS1 maint: url-status (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronika Tandi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.