(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru Nenda kwa yaliyomo

friji

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

friji (wingi mafriji)

  1. kifaa kinachotumiwa kuhifadhi vitu kama vyakula kwa kuvitia baridi

Tafsiri

[hariri]