(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru Nenda kwa yaliyomo

karani

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

karani (wingi makarani)

  1. mtu anayefanya kazi ya kupiga taipureta katika ofisi au kwa lugha nyingine anaitwa (sekretari)

Tafsiri

[hariri]