(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru Nenda kwa yaliyomo

kipaji

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

kipaji (wingi vipaji)

  1. kipawa aliyopewa mtu ya kufanya jambo fulani kwa uhodari

Kisawe[hariri]

Tafsiri[hariri]