(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Tovuti Kuu ya Serikali: Mnyama wa Taifa
The Wayback Machine - https://web.archive.org/web/20150118195350/http://tanzania.go.tz/home/pages/260

Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Taifa LetuAlama za TaifaMnyama wa Taifa

Twiga ni alama ya taifa/nembo na kwa hiyo analindwa na sheria. Ingawa tangazo la kipekee huweza kutolewa na Rais, huwa kawaida, kuua Twiga kunaweza kukusababisha kufungwa jela. Twiga ni mnyama mpole mwenye shingo ndefu inayowakilisha uwezo wa kuona mbali tukiwa bado tunaangalia yaliyopita na ya sasa. Twiga pia anawakumbusha Watanzania kutumia nguvu zao na kuwa tayari kujipanga kimwili, kiakili na kiroho kama twiga.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2013-08-07 05:50:10
Kufaa
4.6
5 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 2
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
5.0
5 Jumla
Rahisi Sana 5
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0