(Translated by https://www.hiragana.jp/)
Papa Viktor II - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Papa Viktor II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Vikta II.

Papa Viktor II (takriban 101828 Julai 1057) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Aprili 1055 hadi kifo chake[1]. Alitokea Swabia, Bavaria, Ujerumani[2].

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gebhard wa Calw, Tollenstein na Hirschberg.

Alimfuata Papa Leo IX akafuatwa na Papa Stefano IX.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]