Kisedang
Mandhari
Kisedang ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam na Laos inayozungumzwa na Wasedang. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisedang nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 97,000. Pia kuna wasemaji 520 nchini Laos. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisedang iko katika kundi la Kibahnariki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisedang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisedang
- lugha ya Kisedang katika Glottolog
- lugha ya Kisedang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisedang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |